Pakua Mixes Ndefu Zaidi Ndani Ya Mdundo

[Picha: Mdundo.com]

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Mdundo ni jukwaa la utiririshaji la muziki ambalo hukutumikia muziki kupitia ushirikiano muhimu mbalimbali ambapo wasanii hupata kujenga kundi la kipekee la mashabiki wa Kiafrika.

Katika nia ya kukuburudisha na kuridhia hisia zako, Mdundo, ambayo ni mojawapo ya jukwaa kuu la utiririshaji muziki barani Afrika linapiga hatua kubwa na bidhaa yake ya kwanza- Mixes.

Baada ya msukumo wa muda mrefu wa mashauriano ya ndani na watumiaji wake, Mdundo amechagua kuongeza urefu wa mixes za muziki.

 Ili kuridhisha wateja, hii itasaidia wateja au mashabiki wa mziki kupakua mixes ndefu ambazo zinaweza kuongezwa kwa urahisi kwenye orodha zako za kucheza.

Unapoendelea na majukumu yako ya kila siku, michanganyiko hii mirefu itakuwepo nawe pindi tu utakapoipakua.

Kwa hivyo, Mdundo itatoa mixes tatu ndefu kwa wiki kupitia mitandao ya kijamii na washirika wengine. Hii itakupa fursa ya kuridhia hisia zako kwa muziki unaokupendeza wewe kama shabiki.

Mixes hizo zitakuwa za aina mbalimbali ambazo zinapatikana kwenye mtandao wa Mdundo ikiwa ni pamoja na Afrobeats, Bongo Flava, Qaswida, Singeli, Highlife ya Ghana na hata  Amapiano ya Afrika Kusini miongoni mwa wengine.

Kwa hivyo, hapa kuna baadhi ya mixes kali  ambazo utapata kuburudika nazo:

Bongo Party _ 43 Mins Mix - Darassa, Juxhttps://mdundo.com/song/2489225

Best of Kuami Eugene- https://mdundo.com/song/2489869

 

Hip Hop Party _ 2023 Mix-  https://mdundo.com/song/2489437

 

IDAN Vibes- Rema, Joeboy-https://mdundo.com/song/2489359 

 

ZA Amapiano _ Turn Up mix - Vigro Deep, Focalistic- https://mdundo.com/song/2489404Leave your comment