Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Mshindi wa Mdundo.com DJ Battle Kutuzwa Shilingi Milioni 7 za Tz
19 November 2021

2021 Mdundo.com DJ Battle inatazamiwa kuanza nchini Tanzania siku ya Ijumaa, tarehe 19 Novemba, 2021. Shindano hilo litakalodumu kwa wiki 4, litamshuhudia DJ mmoja akitawazwa ‘King of The Turntable.’
Mshindi atakabidhiwa mkataba wa udhamini wenye thamani ya Tsh 7,000,000. Mixtape ya atakeyeshinda itapata kuchezwa kwenye redio na pia kwenye hafla kubwa ya muziki.
Ni Nani Anayestahiki?
Shindano liko wazi kwa DJs wote. Aina yoyote ya muziki inaweza kuingia kwenye shindano, iwe ni Afropop, Hausa, Amapiano, Hiphop, Gospel...e.t.c
Jinsi ya Kutuma Maombi?
Tembelea mdundodjbattle.com ili kujiandikisha na kuanza kupakia mchanganyiko.
Weekly Top 10 songs

omelette4:28
Tudo Trocado3:17
Nasema3:02
ONLY YOU JESUS5:44
I AM3:12
CHAMPION GAL3:00
Ekinuma4:59
Akaana kokukyalo2:21
Joy Is Coming3:08
Mariana3:19
Top stories
- Mungu mkuu
16 July
- apology to all our fan's
18 July
- Stainer...music
18 July


Leave your comment