Wasifu wa DJ YLB, Kazi Yake Kwenye Wasafi Media na Show Zake Kubwa

[Picha: DJ YLB]

Mwandishi: Omondi Otieno

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

DJ YLB ni nani na ana miaka mingapi?

Jina la usani: DJ YLB

Jina halisi: Genes Paul Massawe 

Mix tapes zake ni za muziki gani: Gospel

DJ YLB alianzaje kazi yake ya kuwa DJ na lini?

DJ YLD alianza rasmi kazi yake ya  kuDJ mwaka wa 2014 Dar Es Salaam Tanzania. Hivyo, anajivunia kuwa na tajriba ya zaidi ya miaka saba katika kazi hii. DJ YLB anatambulika kwa kucheza kwenye vilabu tofauti tofauti Tanzania. Kwa sasa, ni mmoja wa maDJ tajika nchini Tanzania na eneo la Afrika Mashariki.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Massu, Kazi na Show Zake Kubwa

Kando na kucheza kwenye vilabu, DJ YLB pia amebarikiwa kufanya kazi na stesheni kadhaa za redio na televisheni kama vile; E FM na E TV. Kuna wakati pia alifanya live mix kwenye televisheni ya KTN Kenya. Kwa sasa, DJ YLB anafanya kazi na kampuni ya Wasafi Media.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Summer TZ, Show Zake Kubwa na Tuzo Alizoshinda

Show zake kubwa ni kama gani?

  • Wasafi Sunday Worship
  • The switch 

Soma Pia: Wasifu wa DJ Ally B, Shows na Tamasha Zake Kubwa

Kando na kuchapa shows, DJ YLB ndiye mkubwa wa idara ya muziki kwenye Wasafi media. Yeye pia ndiye anayepanga playlists zote zinazotumika na Wasafi TV.

 Soma Pia: Wasifu wa DJ Feruuh, Nyimbo Zake Bora na Show Zake Kubwa

Leave your comment