Wasifu wa DJ Massu, Kazi na Show Zake Kubwa

[Picha: DJ Massu]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

DJ Massu ni nani na ana miaka mingapi?

Jina la usani:  DJ Massu

Jina halisi: Athuman Kassim Swahib

Mix tapes zake ni za muziki gani: Bongo, Hiphop, RnB

DJ Massu alianzaje kazi yake ya kuwa DJ na lini?

Athuman Kassim Swahib almaarufu DJ Massu alianza kazi ya kuwa DJ rasmi mwaka 2007 huko Tanga,Tanzania. DJ Massu kwa sasa ana ujuzi wa zaidi ya miaka kumi na mitatu kwenye fani yake ya kucheza mziki.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Summer TZ, Show Zake Kubwa na Tuzo Alizoshinda

Katika kazi yake ya usanii wa kuwa DJ, amecheza katika klabu tofauti nchini Tanzania.

Massu amefanya Kazi na Radio gani?

Kandona kucheza muziki kwenye vilabu, DJ Massu amepata fursa ya kufanya kazi na vituo mbali mbali vya radio kama vile, Nyemo FM (Tanga ) na kwa sasa anafanya kazi na kituo cha A-FM iliyoko Dodoma tangia mwaka 2015.

Soma Pia: Wasifu wa DJ Feruuh, Nyimbo Zake Bora na Show Zake Kubwa

Radio Shows zake ni kama zipi?

  • Kipindi cha Kazi na dawa Fast
  • Kipindi cha The Finest
  • Kipindi Sport na Music

Mbali na kufanya kazi kwenye radio, DJ Massu anafanya kazi kama mkuu wa idara ya burudani na usimamizi wa maDJ katika hoteli ya Royal Village iliyoko Dodoma.

Leave your comment