Nandy, Diamond Wang'aa Kwenye Orodha ya Nyimbo Bora Mdundo Tanzania

[Picha: NairobiNews]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Nchi ya Tanzania sasa iko kwenye harakati za kumuomboleza hayati Rais John Pombe Magufuli.

Wasanii waliomuenzi kwa upande wao wamejitolea kufanya heshima kwa kuandika nyimbo za kumbukumbu wakimuomboleza.

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Ngoma Zake Nandy Zinazovuma Bongo

Vile vile mashabiki wa muziki wanendelea kuskiza nyimbo zinazowafurahisha wao . Hivyo kwenye orodha ya nyimbo kumi bora kwenye Mdundo Tanzania, mchanganyiko wa mziki wa Bongo almaarufu_Bongo 2021 ya Dj Bee iliyo na nyimbo za Diamond, Harmonize, Tanasha Donna, Lady jaydee na Zuchu imechukua nafasi ya kwanza.

Kwingineko mziki wa Diamond Platnumz bado unaendelea kuonekana kwenye orodha ya wiki hii dhihirisho la ubabe wa msanii huyu wa WCB.

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Nandy Aachia EP Mpya ‘Wanibariki’ Yenye Mziki wa Injili

Orodha hii pia ina wasanii wawili tu kutoka Nigeria ambao ni Joeboy na Simi.

Hii hapa orodha ya nyimbo kumi bora kwenye Mdundo Tanzania wiki hii:

  1. Diamond, Harmonize, TanashaDonna, Lady jaydee, Zuchu - Bongo Mix 2021
  2. Waah - Diamond Platnumz ft Koffi Olomide
  3. Mama Amina - Mario
  4. Duduke –Simi
  5. Wapo - Harmonize
  6. Loyalty- Darassa ft Mario and Nandy
  7. Baby - Joeboy
  8. Number One –Nandy ft Joeboy
  9. Haunisumbui –Diamond Platnumz
  10. Leo leo - Nandy ft Koffi Olomide

Leave your comment