Pakua Mixtape 5 Bora za Nyimbo za Injili
3 March 2021
[Picha: Information Guide Africa]
Mwandishi: Omondi Otieno
Nchi ya Tanzania inajulikana eneo la Afrika Mashariki kwa kuwa na wasanii wenye uwezo mkubwa katika tasnia ya kutunga and kuimba nyimbo za sifa na kuabudu hasa kwa lugha ya Kiswahili.
Soma Pia: Nyimbo Mpya za Injili 2021 [Video]
Wasanii waliobobea kwenye nyimbo za kuabudu ni kama vile; Rose Muhando, Christina Shusho, Joel Lwaga, Goodluck Gozbert miongoni mwa wengine wengi.
Katika nakala hii, tunaangazia mixtape tano za kuabudu unazofaa kupakua kwenye Mdundo Tanzania:
Christina Shusho Gospel Vol. 2
Mixtape hii ina nyimbo asili za kuabudu kutoka kwa wasanii tajika eneo la Afrika Mashariki. Nyimbo hizo zimetungwa vyema na zina ujumbe mzito utakao kuhubiria injili ya Kristo na kupa matumaini kuwa urejeo wake karibu utatimia.
Mixtape hii inamchanganyiko wa wimbo nzuri na injili zinazovuma Afrika Mashariki. Wasanii wakubwa wa muziki wa injili kama vile; Christina Shusho, Janet Otieno, Rose Muhando na Solomon Mukubwa wameshirikishwa kwenya mixtape hii.
Soma Pia: Nyimbo Mpya: Christina Shusho Aachia Video Mpya ‘Hesabu’
Mix hii ina nyimbo za sifa na kuabudu kutoka kwa wasanii kama vile; Joel Lwaga, Angella Chibalonza na Rose Muhando. Mixtape hii ina mchanganyiko wa nyimbo asili na zile za kizazi kipya.
Mixtape hii no tofauti kidogo na zingine kwenye orodha hii kwani inashirika kwaya ya Arusha na msanii tajika kutoka Nigeria Sinach.
Mixtape hii ina nyimbo za kuabudu kutoka kwa wasanii wa kizazi kipya. Inshirika nyimbo za wasanii tajika kama vile; Bahati, Jabidii, Mr Seed na Timeless Noel. Mix hii pia imewashirika kikundi cha Boondocks Gang wanaojulikana kwa muziki wao wa gengetone.
Ili Kupata mixtape zaidi za injili na muziki zingine, tembelea ukurusa huu: https://mdundo.com/genres/245.
Leave your comment