Nyimbo Mpya: Diamond Atamba Kwenye Orodha ya Nyimbo Kumi Bora Mdundo Tanzania

[Picha: The Citizen]

Mwandishi: Branice Nafula

Tumia Rafiki Kwenye WhatsApp

Mwezi wa Februari umekua wenye shamrashamra na mbwe mbwe yenye maudhui ya mapenzi.

Wasanii mbali mbali wamejitolea kufanya mziki unaoafikia dhana hii. Hivyo wiki hii kwenye orodha ya nyimbo kumi bora kwenye Mdundo Tanzania, msanii Diamond Platnumz anawakilisha nambari moja na wimbo wake maarufu ‘Waah’.

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Album 4 Zinazofanya Vizuri Bongo Mwaka wa 2021

Kwenye wimbo huo, Diamond alimshirikisha msanii wa Congo maarufu Koffi Olomide. Anafwatwa na mkurugenzi mkuu wa Konde Music worldwide Harmonize na wimbo wake ‘Wapo’.

Orodha hii pia ina wasanii kutoka nchi mbali mbali barani Afrika kama vile; Simi, Joeboy na Master KG na Nomcebo.

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Rayvanny Aachia Album Mpya 'Sound from Afrika'

Hii hapa orodha ya nyimbo kumi bora kwenye Mdundo Tanzania wiki hii:

  1. Waah - Diamond Platnumz ft Koffi Olomide
  2. Wapo - Harmonize
  3. Mama Amina - Marioo
  4. Number One - Nandy ft Joeboy
  5. Duduke - Simi
  6. Infidele - Alikiba
  7. Haunisumbui - Diamond Platnumz
  8. Wivu - Maua Sama ft Aslay
  9. Baby - Joeboy
  10. Jerusalema - Master KG ft Nomcebo

Leave your comment