Nyimbo Mpya: Rayvanny Aachia Album Mpya 'Sound from Afrika'

[Anwani ya picha: Rayvanny Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Share on WhatsApp

Msani mashuhuri kutoka Tanzania Rayvanny ameachia rasmi album yake ya kwanza ‘Sound from Africa’.

Ndani ya album hii, Rayvanny ana nyimbo ishirini na tatu ambapo zingine amewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka barani Afrika.

Read Also: Babalevo Features Diamond Platnumz in New ‘Shusha’ Video

Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Innos B wa Congo, Jah Prayzah wa Zimbabwe, Anisa wa Amerika, Weasel wa Uganda, Messias Maricoa wa Mozambique na wengineo kutoka Tanzania.

Read Also: I was Approached to Feature in ‘Coming To America’ Movie - Diamond

Album hii ya “Sound from Africa” inapatikana kwenye mitando tajika za muziki:

Hii hapa orodha ya nyimbo kwenye album hio:

 • Tetema (Ft. Diamond Platnumz)
 • Señorita (Ft. Gims)
 • Kelebe (Ft. Innoss'B)
 • Chuchumaa Remix (Ft. Frenna)
 • Tingisha (Ft. Amine Aminux)
 • Number One Remix (Ft. Enisa)
 • Juju (Ft. Zlatan)
 • Koroga (Ft. Kizz Daniel)
 • Rotate (Ft. Joeboy)
 • Bebe (Ft. Nasty C)
 • Baby (Ft. Rowlene)
 • Bailando (Ft. Messias Maricoa)
 • Twerk (Ft. Vanessa Mdee)
 • Zuena (Ft. Mbosso & Radio & Weasel)
 • Lala (Ft. Jux.)
 • Mama (Ft. Saida Karoli)
 • Kiuno Marry Zamani Waongo (Ft. Linex)
 • Juu (Ft. Young Lunya)

Leave your comment