TANZANIA: YUDA MSALITI J/MOSI YA TRH 12/5 MAPEMA ATAKIWASHA KIBAHA KWENYE TAMASHA LA SHIKA NDINGA NA EFM, ETV

Msanii wa mzik wa mnanda na kisingeli Tanzania Bw. YUDA MSALITI atakiamsha kuliko alivyozoeleka kwenye jukwaa la Tamasha la Shika Ndinga mjini Kibabaha.

YUDA amewaahidi Mashabiki zake kuwa baada ya show kubwa atakayoifanya tarehe 12/5/2018 Hapo mjini Kibaha wakae tayari kupokea nyimbo yake mpya itakayokwenda kwa jina la "MJINI NOMA" imetayarishwa na mtayarishaji mzuri anaetwa "CHIEF ALLY" kutoka studio za Science Muziki iliyopo Magomeni Mwembe chai.

YUDA amemalizia kwa kusema ujio wake mpya nunautofaut kidgo na walivyomzowea kwa sababu humo amepita kwa hisia na na amebeba ujumbe mzito na kuwapa mashabiki zake kwa kuamini alichokiandika kimebeba maisha halisi ya binaadam wa mataifa tofaut kwa ujumla.

Leave your comment