Lyrics

Tumetoka mbali hatutarudi nyumaäa tumetöka mbali mbali sanaaa*2 mtoto pekeangu nkazaliwa duniani nkatupwa mimi nagikaza möyo ipo siku ntaskika na walio fanya ayo yote wanapiga röng shore walipo ivi sasa wanagidae wengine wanapiga moyo konde wanasema atuwawezi siati wenzenu ninajidae tumetoka mbali hatutarudi yumaa tumetoka mbali mbali sanaaa*2 matatizo tumepitia wengi kufa kabla siku kutwa nawaza nakuwazua nakwambia tunaumia tu na waliofanya ayo yote wanapiga rong shore walipo ivi sasa wanagidae na wengine wanapiga moyo konde wanasema hatuwawezi siati mwenzenu ninagidae tumetoka mbali hatutarudi nyumaaa tumetoka mbali mbali sanaaa*2 eei tumetoka mbali mbali sanaaa bm records kabla nianze kuimba napiga kisengere nyuma na shida zile zimenikumba roho yangu inaniuma aaa kulala nja kulala china chakula kingi bila madini kwetu kumejaa madeni nashidwa túmekosea mungu nini aaa pesa zaku recordi wimbo wangu wakwaza mamayangu alitoa kwachama akujua kama mimi naeza imbä aliniamini ona sasa niko far eiei tumetoka mbali hatutarudi nyumaaa tumetoka mbali mbali sana aaaa*2
View more

Leave your comment

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up