Lyrics
Chorus
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Upo mbali na masogange eh
View more
Verse 1
Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona
Miaka mingi imekatika ma, ila mi sijakuona
Kile kidonda change cha mapenzi, moyoni bado hakijapona
Mitapata afadhali mi, endapo we nkikuona
Kama warembo mi nawaona wengi, tabia zao mi naona noma
Najaribu shinda vishawishi, nisije mi kukupa ngoma
Hook
Bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda
Bado nakupenda wewe, wapi ulipokwenda
Ndo mana nakuimbia popote ulipo sikia baby, urudi nyumbani
Nakuimbia popote ulipo sikia mami, tuishi kama zamani
Bridge
Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we,
Mapenzi yanautesa moyo we, njoo unipoze roho (x2)
Toka long time ago, nakusaka mrembo we
Nakusaka baby, nijue upo wapi mama
Wasiopenda kuona mimi nawe, tunapeana real love ni wengi
Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapeana mapenzi
wasiopenda kuona nawe, twapendana my baby ni wengi
Hawapendi kuona mimi nawe, kila siku twapena mapenzi
Chochote watakachokuambia, usiwasikilize
nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
chochote watakachokuambia, usiwasikilize
nakusihi mami puuzia, moyo wangu usiumize
endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza
endapo ukiwasikiliza, moyo wangu utaumiza
endapo ukiwasikiliza, utaniacha mi kwenye kiza haya
Chorus
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Upo mbali na masogange eh
Bridge
Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we,
Mapenzi yanautesa moyo we, njoo unipoze roho (x2)
Chorus
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Upo mbali na masogange eh
Upo mbali na masogange
Njoo uutulize mtima wange
Mapenzi yanaumiza moyo we
mapenzi yanautesa moyoni
mapenzi yanatesa rohoni
Bridge
Mapenzi yanautesa moyo we, mapenzi yanaumiza moyo we,
Mapenzi yanautesa moyo we, njoo unipoze roho (x2)
Wewe, Toka long time ago, nakusaka mrembo we
Nakusaka baby, nijue upo wapi mama
I love yoou, I need you!
Leave your comment