- 1:33
TZ 2024 watchlist
Entertainment & Learning - Mdundo Podcast
Lyrics
"Mwaka wa elfu mbili ishirini na tatu, wasanii tokea Tanzania walijitahidi kwa udi na uvumba kutuburudisha kwa nyimbo zinaonata na kusisimua. Tuliweza kushuhudia mtindo wa wasanii kuwashirikisha wasanii wa nchi zingine katika nyimbo zao haswa wa Afrika Kusini. Nyimbo zilizochanganya sauti ya Bongo Flava na ile inayotokea Afrika Kusini ijulikanayo kama Amapiano ziliweza kutamba na kusambaa na kushabikiwa na wengi. Wasanii kadha wa kadha pia waliweza kuwapa mashabiki wao albumu zilizobuniwa kwa ustaarabu. Mwaka huu mashabiki wa muziki wa bongo Flava wanatarajia kuwa wasanii hawa watatia jitihada na kuendelea kuachia vibao vingine vizuri. Isitoshe mashabiki wanatarajia hata zaidi kuskia sauti mpya kutoka kwa wasanii chipukizi ambao tungependa kuona wakidhihirisha umahiri wao katika uwanja huu wa muziki. Ifuatayo ni orodha ya wasanii chipukizi ambao tunatazamia wataweza kuthibitisha uwezo wao wa kutunga nyimbo zinazoburudisha.1.Appy
2.Abigail Chams
3.D Voice
4.Dayoo
View more
More songs by Entertainment & Learning - Mdundo Podcast
- Gen Z Slang Explained-Mdundo Podcast2:21
- Best Movies & Series of 2022-Mdundo Podcast3:11
- Boys II Men Kenya Concert-Mdundo Podcast1:40
- Mapenzi Ya Marioo Na Paula...Mdundo Podcast2:00
- Nyimbo mpya Bongo 20232:24
- Movies watchlist 20242:31
- Willy Paul To Marry Miss P-Mdundo Podcast1:45
- Nigerian Celebrity Gossip May 2023-Mdundo Podcast2:58
- The Rise and Fall of Colonel Mustafa-Mdundo Podcast3:32
- Salawa Abeni Alidu0:45
- Yellow Collar Jobs - Labour Day1:37
- Trending Sounds on TikTok - Mdundo Podcast2:56
- Tanasha Dona Apologises to Diamond1:06
- WCB Wasafi Signs New D Voice1:38
- Batile Alake0:40
- Zakayo (Christina Shusho)0:53
- White Collar Jobs - Labour Day1:45
- Onyeka Onwenu0:46
- Growing TikTok influencers Nigeria 20241:54
- Growing TikTok influencers 20241:58
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.