Lyrics

Mapenzi Ya Marioo Na Paula, Harmonize na Mrwanda Na Mengineyo

Wakati mashabiki wanaendelea kufurahia kazi ya mwanamziki wa Tanzania Marioo, pia wengi wanashabikia ushusiano wake na mwanamitindo Paula. Paula ni mwanawe Frida Kajala aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Konde Music Harmonize. Paula katika show moja uko Tanzania aliviambia vyombo vya Habari kuwa yeye ni Mrs Omari.
Kwa upande wake Harmonize pia maeeka wai hivi karibunu kuwa ana uhusiano na mwanadada mwenye asili ya Rwanda. Hii ni miezi michache baada ya kuachia kazi yake ya ‘ single again” amabayo bado inaendelea kupata umaarufu Zaidi mitandaoni. Hili likiwa kinaya na alichiomba Shabiki zake wamepokea taarifa hiyo kwa furaha ila wana maswali chungu nzima. Huku wakitaka kujua penzi hili jipya litadumu kwa muda gani?
Kwingineko ni kuwa Jumatatu Usiku mwanamziki wa Tanzania Rayvanny na aliyekua mpenzi Wake Paula Kajala walikua na vita vikali vya maneno kupitia Instagram stories. Hii ni baada na mpenzi wa sasa wa Rayvanny Fayma kuonyesha kuchikzwa na kuonyeshwa kwa Rayvanny kwenye reality show ya Paula na Kajala ‘Behind The Gram’. Vile vile Rayvanny na Paula sasa wakaanza kujibizana huku wakianika chafu zao mtandaoni. Wawili hao waliendelea kutupiana lawama za nani kakosea wakati wa uhusiano wao.
View more

Haya yakizidi kipindi cha Young, Famous and African kinaendelea kupata umaarufu ndani Netflix huku Diamond Platnumz akiwa gumzo la watanzania baada ya mama ya wanawe Zari the Bosslady kumshishia mameno mwanamziki kutoka Ghana Fantana kuhusu uhusiano wake na Diamond kwenye show hiyo. Wawili hao walijibizana kuhusu ukubwa wao kwenye mitandao ya kijamii, utajiri na hata ubora wao wa kimwili. Hii ni baada ya Diamond kuanzisha uhusiano na Fantana kwenye show hiyo iliyotengezwa Afrika Kusini.