Similar songs

Sermon 12:57
Review: Yatapita -Diamond Platnumz1:05
Melody Diamond Platnumz ft Jaywillz1:15
Diamond Platnumz X Zuchu Mtasubiri - Uchambuzi1:32
My Baby Featuring Chike Review-Mdundo Podcast1:21
Review : Komasava Remix Diamond Platnumz, Chley ft Diamond Platnumz1:15
Review: Komasava -Diamond Platnumz ft Chley, Jason Derulo1:15
Playlists
-
DJ Cleo Hits
26 songs
-
DJ Cuebeatz Mixtapes
18 songs
-
Spice Diana | Party Songs
10 songs
-
The Guy - M.I Abaga _ EA
12 songs
-
Amapiano Mix | Dance
13 songs
Mwanamziki kutoka Tanzania Harmonize anaendelea kuwa kwenye top trends na wimbo wake ‘Single Again.’
Harmonize aliachia kazi hii mwezi mmoja uliopita ila bado unaendelea kutikisa mitandao ya mziki.
Linapokuja suala la uandishi basi Harmonize hana mpinzani na kupitia ngoma yake hii ya Single Again, Harmonize amedhihirisha kuwa yeye ni mwandishi bora sana. Hii ni ngoma ya kwanza ya Harmonize kwa mwaka 2023.
Kupitia wimbo huu Harmonize anaangazia jinsi mapenzi yalivyomtesa na kwa sasa yuko single Again. Wimbo hu ulichukua mdundo wa Amapiano ya Afrika Kusini .
Vile vile, Harmonize aliangazia machungu yake kwenye video ya wimbo huu ambpo alimshirikisha mrembo wa filamu kutoka Tanzania.Harmonize anaimba jinsi alivyokuwa anampenda mpenzi wake ila mwanadada huyo alimdanganya kwa kumchiti hata baada ya mzazi wake kumuonya kujihusisha na mapenzi akiwa umri mdogo.
Kupitia mitandao ya kijamii wimbo wa single again umesambaa kwa kasi sana huku mashabiki wakitarajia kuwa Harmonize atafanya remix ya wimbo huu na msanii wa kimataifa.
Mwelekezi wa Video ya Single againg akiwa Director Kenny.

