• Stream Harmonize - Nitaubeba Harmonize - Uchambuzi

    Nitaubeba Harmonize - Uchambuzi

    Harmonize

    1:52

Lyrics

NITAUBEBA - Harmonize + Lyrics

Fundi wa muziki kutoka himaya ya Konde Gang Harmonize hivi karibuni ameamua kuwabariki mashabiki zake na muziki mzuri na hii ni baada ya yeye kuachia mkwaju mpya na matata kabisa unaoitwa Nitaubeba.

Nitaubeba ni ngoma ya 9 kwa Harmonize kwa mwaka huu wa 2022 na ngoma hii imetoka sambamba na ngoma nyingine ya Harmonize inayoitwa Amelowa. Nitaubeba inakuja katika kipindi ambacho muziki wa Amapiano umeendelea kuteka tasnia ya muziki Tanzania, hivyo basi ngoma hii ni kama imekuja kukomboa na kuurudisha kileleni muziki wa Bongo Fleva.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up