• Stream Harmonize - Harmonize Leave Me Alone ft Abigail Chams - Uchambuzi

    Harmonize Leave Me Alone ft Abigail Chams - Uchambuzi

    Harmonize

    1:18

Lyrics

Baada ya miezi miwili kupita tangu Harmonize amshirikishe Abby Chams katika ngoma ya Closer hatimaye kwa mara nyingine tena mshindi huyo wa tuzo za Tanzanian Music Awards wamekutana na mwanadada huyo katika ngoma ya Leave me alone ambayo ni ngoma inayopatikana katika Albamu ya tatu ya Harmonize aliyoipa jina ya Made for Us ukiwa ni wimbo namba tatu katika Albumu hiyo.

Leave me alone inaweza kuwa ngoma ambayo Harmonize ameamua kuitoa kutokana na madongo anayoyapata kutoka kwa mashabiki mbalimbali haswa mara baada ya kuamua kuondoka WCB lebo ambayo iko chini ya msanii Diamond Platnumz.

Kwa Kondeboy hii siyo mara yake ya kwanza kuandika mashairi ambayo yamejaa safari yake ya mahangaiko aliyopitia mpaka sasa ila katika wimbo huu nyota huyu wa muziki wa Tanzania ameenda mbali zaidi na kuaminisha wanadamu ya kuwa hata wakijawa na chuki kiasi gani juu yake lakini kwa upande wake Mungu akimpenda inamtosha sana.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up