• Stream Harmonize - Kioo Anjella X Harmonize - Uchambuzi

    Kioo Anjella X Harmonize - Uchambuzi

    Harmonize

    1:09

Lyrics

"
Baada ya kutetemesha Tanzania na 'Kama' pamoja na 'All Night' mapema mwaka huu Anjella na Harmonize waliburudisha mashabiki zao na ngoma ya Kioo ambayo Imetayarishwa na B Boy Beats, mtayarishaji wa muziki ambaye mara nyingi hufanya kazi na wasanii wa Konde Music Worldwide.

Ngoma ya Kioo ilikuja kuimarisha nafasi ya Anjella kwenye kiwanda cha muziki nchini Tanzania ambapo kupitia Kioo, Anjella alijihakikishia nafasi yake kama moja ya wasanii mahiri wa kike kwenye tasnia ya Bongo Fleva.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up