- 2:09
Ripoti Korea Kaskazini vs Ghana
Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
Lyrics
Black stars hatimaye katika mechi yao ya pili wameianza vizuri baada ya kuwapiga Korea Kaskazini mabao 3-2 katika uwanja wa Education City mechi iliyohudhuriwa na zaidi ya watazamaji 40000.Kwa Black stars kushinda mchezo huu ni tumaini kwa timu za Afrika ambazo hazikuanza vizuri mashindano haya mara baada ya kuishia kutoa sare au kufungwa katika mechi za kwanza. Ghana katika mechi ya kwanza wao waliambulia kipigo cha bao 3-2 dhidi ya Ureno hivyo hili ni tumaini lingine kwa timu za Afrika baada ya Morocco.
Korea Kaskazini waliuanza mchezo vizuri na kudhaniwa wao ndio wangeshinda mchezo huo katika dakika za awali lakini cha ajabu Ghana walimaliza kipindi cha kwanza kwa mabao mawili yaliyofungwa na Mohammed Salisu ambaye ni beki wa kati wa Ghana anayeichezea pia Southampton.
View more
Discover more artists
More songs by Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
- Argentina Lineup World Cup2:38
- FIFA Sports Highlihts0:54
- Argentina World Cup 20221:03
- Mitazamo mbalimbali kombe la Dunia kwa Ufaransa2:22
- Wanasoka watakaostafu World Cup3:15
- Shocking World Cup moments3:24
- Best EPL Players World Cup2:49
- Dider Deschamps - Benzema na France kuelekea Qatar2:07
- Qatar 2022 Group E review2:04
- Mbappe aweka rekodi mpya kombe la dunia Qatar2:30
- World Cup Football Prediction Netherlands vs Qatar WC 20221:00
- waingereza waliongara world cup1:44
- Ronaldo Aiwakia ManU1:17
- Japan Wins 3-1 against Croatia on Penalties1:47
- World Cup Football Prediction Wales vs England WC 20221:21
- World Cup Football Prediction Belgium vs Morocco1:01
- Qatar 2022 Group F review1:14
- Ukraine waja na ombi FIFA1:30
- Benzema athibitisha kuachana na Ufaransa1:21
- Bruno Slams Referee0:46
News
- 6 Fun Facts World Cup 2022 - Mdundo Alt
10 December
- Denmark Vs Tunisia Live - Mdundo Alt
22 November
- World Cup Matches Today - Mdundo Alt
22 November
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.