Lyrics

Black stars hatimaye katika mechi yao ya pili wameianza vizuri baada ya kuwapiga Korea Kaskazini mabao 3-2 katika uwanja wa Education City mechi iliyohudhuriwa na zaidi ya watazamaji 40000.

Kwa Black stars kushinda mchezo huu ni tumaini kwa timu za Afrika ambazo hazikuanza vizuri mashindano haya mara baada ya kuishia kutoa sare au kufungwa katika mechi za kwanza. Ghana katika mechi ya kwanza wao waliambulia kipigo cha bao 3-2 dhidi ya Ureno hivyo hili ni tumaini lingine kwa timu za Afrika baada ya Morocco.

Korea Kaskazini waliuanza mchezo vizuri na kudhaniwa wao ndio wangeshinda mchezo huo katika dakika za awali lakini cha ajabu Ghana walimaliza kipindi cha kwanza kwa mabao mawili yaliyofungwa na Mohammed Salisu ambaye ni beki wa kati wa Ghana anayeichezea pia Southampton.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up