- 3:33
Eldonnen Tk6 ft manrizzy latifa mp3
Eldonnen
Lyrics
Latifa latifa latifa unafanya Nini kwa bar unaimiza wangu moyo latifa jina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha jina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha latifa nakupenda Sanaa usijeukaniwacha mpenzi moyo wangu unauzuni Sanaa we ndo wangu moyoni uliniacha miaka mingi mpenzi naomba tafadhali Rudi mi Nina ugonjwa wa moyo kwenye penzi nisizame latifa mi ninatabu nyinyi moyo wangu usizame latifa atakwenye shida we ndo wangu wa moyoniJina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha jina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha
Nmepitia taabu nyingi moyo wangu unachuki kwenye penzi tulionayoo ilashida itaisha naishi maisha ya taabu umaskini usiwe moyoni ukafata wenye magari ukaniacha naumia tulipambana na hali yetu adi mola akajibu Sasa tunaamini mola basi tugange yajayo
Jina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha jina mapenzi jina mapenzi jina mapenzi limeniwacha
Ata penzi liwe Moto nisizame ukafanya ni pagawe latifa unanipa kizunguzungu unafanya mi nazama latifa wanichanganya akili watu wanongona kwenye penzi nisizame mi na wasiwasi latifa we utanimwaga
View more
More songs by Eldonnen
- Free instrumental eldonnentk6_mziki itambe beat mp33:31
- Smiley Geng-Eldonnen& Austinho-party nicemp3.mp33:32
- Run away3:02
- Eldonnen Tk6 ft Austinho-speak about me.mp33:35
- Happy haga day3:02
- I pray my Lord3:11
- Fake promise3:18
- Eldonnen Tk6-never love mp33:53
- Uso wa Bwana3:50
- Smiley Geng (Eldonnen & Austinho)- base mp33:56
- Fight for love3:39
- Happy haga day3:02
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.