Lyrics
Ni maradufu upendo wako umenifaa n ni
Maradufu yeah yeah uwepo wako umenitawala
Nikiwa peke yangu bado (bado) sijakamilika
(Bado) hata mipango yangu (bado) inavurugika ahhh
Hakuna anaezidi kwako mamaaah nguvu ya mapenzi yako
View moreBalaah umenifanya nijione bora bila weeh mi siwezi ng'ara
Hakuna tena zaidi yako mamaaah nguvu ya mapenzi yako balaaah
Umenifanya nijione bora bila we mi siwezi ng'ara (noooh nooooh)
In case you don't know ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba na wewe
In case you don't know ntaringa naye ntakwenda nawe popote my baby
In case you don't know
Ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na wewe
In case you don't know ntacheza nawe ntaringa nawe iyeeeh
In case you don't know
(Nyashinski)
Inaweza kuwa fresh kama una time twende mahali out
Au ka inachosha usimind nnaweza nkakua couch
Nitry kukuimpress ata smile baby angalau
Na tunatesa hii town tunairun wallahi
Mahater wanakesha wakitry kubring whoo love aah down
Usikuwe na presha sit down let me run my mouth
Isikuogopeshe ikisound ka wedding vows
Tumie location ucome mahali pia tulounge
Night iko special surround sound movie louuuud
Don't be loud cause you are loud ata bila party(It's a party for two)
My mission is to always stay true
Live to see my dreams come true with you oooh ooh ohh ooh ooh ooh
I smell the wine on your press
Then you turn around and wine by yourself for me
You gaht me trying to resist
I pay no mind to the rest
Na nakuanga nmekumind your the best for me
You pretty bum look now you make me love you
Now let me remind you I tell you
In case you don't know ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba na wewe
In case you don't know ntaringa naye ntakwenda nawe popote my baby
In case you don't know
Ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na wewe
In case you don't know ntacheza nawe ntaringa nawe iyeeeh
Nasema miii najivunia kuwa na weeh
Kwa furaha unayonipa nipa darling
Oooh ooh
Nasema miiii najivunia kuwa na wewe kwa furaha unayonipa nipa babyyy
Weeeeeh
In case you don't know
Ntacheka nawe ntacheza nawe ntaimba nawe
In case you don't know ntaringa nawe ntakwenda na we popote my baby
In case you don't know ntacheza nawe ntaimba nawe ntakwenda na weeh
In case you don't know ntacheza nawe ntaimba nawe iyeeeeh
In case you don't know!