NAKUSUBIRI

Asubuhi na jioniiiiiii na mchanaaaaa nakuitaji mfalme
bodygadi wangu mimi ninayemtaka ni wewe yesu
unayenigadi napokuwa maghetoni ni wewe yesu
maisha yangu nimeyakabidhi kwako bwana
uniepushe na maisha ya tamaa ,dhuruma sio sawa kwa gheto man nataka niishi maisha ya haki

chorus
nakusubiriiiii
yesu niko gheto ,uniokoe na haya matatizi x2

Leave your comment