Chorus

Penzi kisirani, wenzangu mi niachie, usije na penzi bovu, ukanifanye nife chafu. Usilete hata kichache, kanifanye nikijaji, usije na penzi baya, ya karaha kwa shida kadha....*2

Leave your comment