TANZANIA: Video: ‘Hoi Hoi’ by Layla
23 March 2016

Layla A Anwar ama kama anavyojulikana kwa jina la The Voice Fairy ni msichana aliyejipatia umaarufu Instagram kwa kufanya cover za wasanii mbalimbali. Hoi Hoi ni wimbo wake wa kwanza uliofanywa katika studio za AM Records. Na hii Video kali imetengezwa Arusha chini ya mtayarishaji Nisher.
Unaweza kuitazama Video hii hapa:
Chanzo: Bongo5.com




Leave your comment