Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: “Nataka kupambana na Diamond Uwanja wa Taifa”-Juma Nature
21 March 2016

Juma Nature asema yeye ndiye mwenye ubavu wa kupambana na Diamond Platnumz na wala si Ali Kiba,Kupitia Fnl Juma Nature aliniambia kuwa anaomba mpambano huo ufanyike kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani [Shamba la bibi].
“Diamond ndiye anakalia game ya muziki nchini kwa sasa, na muziki ni furaha basi nataka kupambana naye kwenye uwanja wa Taifa na mashabiki wakitazama huku kusema nani ni mshindi, Diamond ndiye kaiteka game kuliko Alikiba na kama viongozi wapo tayari kuunga mkono na kutengeneza muziki mzuri basi waandae tamasha hilo”
Pia Nature amezungumzia kuhusu kufanya kazi na Said Fela ambapo majuma kadhaa yaliyo pita Fela alizungumzia kuhusu kufanya kazi na Juma Nature nakusema kama ikitokea ataweza kufanya naye kazi. ”Mimi sina tatizo lakini maslahi kwanza, kama kufanya naye kazi itabidi tuandikishane mkataba kwanza”.
Chanzo: Udakuspecial.com
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment