TANZANIA: Meneja wa Diamond awa Meneja wa AY..
15 March 2016

Siku chahe baada ya Rich Mavoko kusaini na mkataba wa chini ya lebo ya WCB, leo msanii AY ameposti picha ambayo inamuonesha akiwa na meneja wa lebo ya WCB Sallam iliyokuwa na ujumbe wa unaothibitisha kuwa kwa sasa msanii huyo yupo chini ya Lebo ya WCB.
AY katika account yake ya Instagram alipost na kuandika:

AY katika picha hiyo aliandika:

Sallam Sharaf, Meneja nae alipost na kuandika:






Leave your comment