TANZANIA: Hii ndiyo sababu ya Menina kuwa kimya kwa muda mrefu
14 March 2016

Menina kapotea kama embe la msimu. Well kwa sasa cheo chake kimebadilika, ni mke wa mtu a.k.a Mrs Abdulkareem na pia ni CEO.

Baada tu ya kuolewa, muimbaji huyo wa kundi la shosteez alifungua kampuni iitwayo Meninah Investment kwa ambayo anachkiandikia mambo yanamwendea fresh.

“I don’t give anyone a reason to hate me. They creat their own drama out of their pure jealousy… muscle money, week muscle young, and ambitious I choose what makes me happy leaving uncomplicated”, ameandika kwenye picha ya hapo juu.

“At aoffice cooperate look for my cooperative clients, my company, my business, my dollars”, aliandika kwenye picha nyingine.
Chanzo: Bongo5.com




Leave your comment