TANZANIA: Mastaa walivyoadhimisha siku ya Wanawake duniani.

Mastaa mbalimbali jana wameadhimisha siku ya wanawake duniani. Hawa ni baadhi ya waliotuma ujumbe mahsusi kwa wanawake mahsusi maishai mwao.

Mr Blue #Happy Women’s Day

 

Diamond #Allow me to wish Happy Women’s Day to my precious.

Gelly wa Ryhmes #Happy Women’s Day to all women out there.Love u so much Elizabeth. Promise to make you proud Mom! God Bless u.

AliKiba: Kheri ya siku ya wanawake duniani, kwa mama yangu, dada yangu, pamoja na wanawake wengine wote Tanzania. Tunawathamini na kuwapenda sana.

 

 

Leave your comment