Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: SaRaha aingia kwenye shindano nchini Sweden
9 March 2016

Saraha ameingia kwenye fainali za shindano la Melodifestivalen (Melody Festival) la nchini Sweden. Hilo ni shindano kubwa zaidi nchini humo ambalo mshindi wake humpeleka kwenye mashindano ya Eurovision Song Contest 2016.

Kama Saraha atashinda, ataiwakilisha Sweden kwenye mashindano hayo. Saraha amefika kwenye fainali za mashindano hayo kwa wimbo wake Kizunguzungu ambao unahit kwa sasa barani Ulaya. Fainali hizo zinafanyika Jumamosi hii mjini Stockholm.

Hawa ndio walioingia fainali:
Panetoz – Håll om mig hårt
(Jimmy Jansson, Karl-Ola Kjellholm, Jakke Erixson, Pa Modou Badjie, Njol Badjie, Nebeyu Baheru)
Lisa Ajax – My Heart Wants Me Dead
(Linnea Deb, Joy Deb, Anton Hård af Segerstad)
David Lindgren – We are Your Tomorrow
(Anderz Wrethov, Sharon Vaughn, Gustav Efraimsson)
SaRaha – Kizunguzungu
(Anderz Wrethov, Sara ”SaRaha” Larsson, Arash Labaf)
Oscar Zia – Human
(Oscar Zia, Victor Thell, Maria Smith)
Ace Wilder – Don’t Worry
(joy Deb, Linnea Deb, Anton Hård af Segerstad, Ace Wilder)
Robin Bengtsson – Constellation Price
(Bobby Ljunggren, Henrik Wikström, Mark Hole, Martin Eriksson)
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Trending song
24 May
- ICE PRINCESS SONGS
24 May


Leave your comment