TANZANIA: Watanzania wafanya vizuri tuzo za AMVCA

 

Tayari Tanzania imeweza kung’ara tena anga za kimataifa baada ya wasanii wa filamu za Bongo, Maalufu Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie Richie’ nia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kila mmoja kufanikiwa kutwaa tuzo mbili za Kimataifa za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, zinazofanyika Nchini Nigeria ndani ya mji Lagos. Katika tuzo hizo msanii Alikiba anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Afrika Mashariki na alitumbusha katika sherehe hiyo.

Elizabeth Michael 'Lulu'

 

Richie Mtambalike 'Single'

 

 

Elizabeth Michael (Lulu) amefanikiwa kutwaa tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya “MAPENZI” na Richie Richie  akitwaa tuzo ya  Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya “KITENDAWILI”.

Elizabeth Mihael 'Lulu' akiwa na Alikiba

 

Richie akiwa na msanii kutoka Nigeria

 

 

Mbali na wasanii wa Tanzania pia wasanii mbalimbali kutoka Bara la Afrika nao walifanikiwa kutwaa tuzo hizo usiku huu ni pamoja na:

BEST ART DIRECTOR (MOVIE/TV SERIES)- The refugees – Frank Raja Arase

BEST TELEVISION SERIES- Daddy’s Girls – Ariyike Oladipo

BEST MAKEUP ARTIST (MOVIE/TV SERIES)-Ayanda – Louiza Calore

BEST SHORT FILM-A day with death – Oluseyi Amuwa

BEST WRITER (MOVIE AND TV SERIES)-Ayanda – Trish Malone

BEST LIGHTING/DESIGN-Common Man- Stanley Ohikhuare

BEST CINEMATOGRAPHY-Tell me sweet something- Paul Michaelson

BEST SOUND EDITING-Marquex Jose Guillermo

BEST PICTURE EDITING-Rebecca- Shirley Frimpong-Manso

BEST COSTUMING-Uche Nancy- Dry

BEST ACTRESS IN A COMEDY- Jenifa’s Diary- Funke Akindele

TRAILBLAZER AWARD-Kemi Lala-Akindoju

BEST MOVIE- SOUTHERN AFRICA-Joyce Mhango Chaiguala

BEST MOVIE- EASTERN AFRICA-Mapenzi- Elizabeth Michael

BEST MOVIE- WESTERN AFRICA-Chinny Onwugbenu, Chichi Nwoko and Genevieve Nnaji – Road to Yesterday

BEST ACTRESS IN A DRAMA-Falling- Adesua Etomi

BEST ACTOR IN A DRAMA-A Soldier’s Story- Daniel K. Daniel

BEST DIRECTOR- Tell me Sweet Something- Akin Omotosho

BEST OVERALL MOVIE- Dry- Stephanie Linus

 

Tazama hapa show ya Ali Kiba:

 

    

Leave your comment