Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Diamond aja na ‘Simba’
4 March 2016

Staa wa muziki Diamond Platnumz amejipanga kuachia wimbo mpya wa kurap uitwao Simba. Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Ijumaa hii, Meneja wa msanii huyo, Babu Tale alisema wimbo huo utakuwa sio wa biashara bali ni zawadi kwa mashabiki.

Diamond Pltnumz akiwa na Manager wake Babu Tale
“Kama Hip Hop ni biashara Diamond amefanya wimbo wa kurap lakini hatujauchulia kama ile ni biashara, wimbo umeshaisha na unaitwa Simba,” alisema Babu Tale. Diamond kwa sasa anafanya poa na video ya wimbo ‘Make Me Sing’ akiwa na AKA wa Afrika Kusini, 'Zigo Remix' aliyoshirikishwa na AY pamoja na 'Bado' aliyoshirikishwa na msanii wake kutoka kwenye lebo yale ya WCB "Wasafi Classic Baby", Harmonize.
Chanzo: Bongo5
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00


Leave your comment