Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA:AT atoa wimbo mpya
1 March 2016

Msanii wa muziki wa miduara nchini Tanzania anejulikana kwa jina la AT King, hivi karibuni ametoa nyimbo yake iitwayo 'Ayo kwa Ayo'. AT ameshawahi kubamba na nyimbo kama 'Samaki', 'Bao la kete' na nyinginezo nyingi. AT ni mwanamuziki anayeitambulisha vizuri visiwa vya Pemba na Unguja.
Unaweza kuisikiliza nyimbo hii hapa:
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Smart skid life history
09 September





Leave your comment