TANZANIA: Sikiliza mdundo mpya kutoka kwa MicLon ft. Heri Muziki “Nafanya yangu”.
24 February 2016

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa hiphop, Mic Lon uitwao ‘Nafanya Yangu’ akiwa amemshirikisha Heri Muziki. Producer wa wimbo huo ni Ben Mwamba wa Mpo African Studios. Nafanya yangu ni wimbo wa kipekee wa hip hop unaodhamiria kufunza na kutafutra kwa bidii kile ukitakacho bila kukata tamaa wala kukatishwa tamaa na mtu yeyote.
Sikiliza wimbo huo hapa;




Leave your comment