TANZANIA: Picha- Godzila aanzisha kampeni, ni baada ya Ray kudai siri ya weupe wake ni kunywa maji mengi!

 

Baada ya Ray Kigosi kusema siri ya weupe wake ni kunywa maji mengi, wasanii mbalimbali kama Godzilla na mashabiki wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii na kuanza zoezi hilo kuhamasisha watu wengine kunywa maji ili na wao wapate upako huo wa rangi nyeupe.

 

Rapa Godzilla amekuwa akipost Instagram picha za wasanii wenzake au watu wengine na kuwasahuri kunywa maji ya kutosha.

 

 

Hivi karibuni Ray Kigosi kupitia  kipindi cha E News cha East Afrikan Tv alidai kuwa weupe wake unasababishwa na kunywa maji mengi nay a kutosha pamoja na kufanya mazoezi.

Leave your comment