Zari bado aendeleza kummzonga Wema kwenye Snapchat!

 

 

Zari Hassan aendeleza bifu lao katika mitandao ya kijamii baada ya ujauzito wa Wema kutoka, na kumdhihaki kuwa anaua watoto wasio na hatia katika feki movie yake anayoigiza.

Zari katika snapchat amepost video na kuandika ‘Still wants Tee’s DNA’ yaani ‘bado anaitaka DNA ya Tiffah’. Na kwenda mbali zaidi kwa kuandika kuwa uchizi wa Wema umefika mbali na kuandika “Garl!! You are something else” na “No throwing shades just stating facts” yakiwa na maana ‘Wewe msichana ni kitu kingine” ‘simaanishi vibaya, nasema tu ukweli”.

Tazama drama hiyo hapa;

 

Leave your comment