TANZANIA: Linah atoa sababu ya wasanii kushindwa kufanikiwa.
16 February 2016

Mwimbaji Linah Sanga amesema wasanii wengi wakike wanashindwa kufanikiwa kutokana na kutokuwa serious na kile wanachokifanya.

Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Jumatatu hii, Linah alisema hali hiyo inawafanya kutothamini kile wanachokifanya.

“Tumekuwa hatuko real”, alisema Linah.

“Unafiki wa maneno tu, huyu kampeleka huyu, huyu kampeleka huyu. Mara katengeneza story Halafu vitu vingine vinakua sio vya kweli, ukiwa karibu na mtu fulani mwingine anaona bora akuharibie, yaani kuna vitu vinaendelea chini ya kapeti tunafanyiana sisi wasanii vinakua sio poa. Hiyo hali inapelekea tunakuwa hatusapotiani, ndio maana muziki wetu hauendelei”, aliongeza Linah.

Leave your comment