TANZANIA: Chege adai anamkasirisha mama yake kwa kutoswali swala tano
15 February 2016

Msanii wa muziki toka kundi la TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amesema ingawa Mama yake amemruhusu kufanya muziki lakini bado amedai kuwa ana deni la kuswali swala tano kama mama yake alivyomuagiza.

Msanii huyo anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘Sweety Sweety’ amekiambia kipindi cha uhondo cha EFM kuwa mama yake ni mtu wa swala tano kabisa.

“Kitu ambacho naweza sema kinachomkasirisha mama yangu ni kutoswali swala tano”, alisema Chege.

“Unajua mama yangu ni mtu wa swala tano sana. Sasa mimi nimetokea kufanya vitu vya tofauti kabisa ambavyo haviendani nae lakini ameamua kuvikubali kwasababu anaona navifanya kwa njia nyoofu. Sivifanyi halafu nikawa doa kwake, sijamtia aibu”, aliongeza Chege.

Leave your comment