TANZANIA: Sikiliza wimbo mpya yakwao Ben Pol na Jux ‘Nakuchana’
12 February 2016

Msanii wa R&B, Ben Pol ameachia wimbo mpya uitwao ‘Nakuchana’ akiwa pamoja na Jux. Producer wa wimbo huo ni Bob Manecky, umefanyika studio za AM records.

Mistari ya wimbo huo unawahusu wasanii hao, wakiwa wameamua kuambiana ukweli kuhus tabia zao flani flani na kuipa nyimbo hio vionjo fulani vya kuvutia. Ben Pol mwishoni mwa mwaka jana aliachia video mpya iliyofanyika Afrika Kusini 'Ningefanyaje' na Mwanzoni mwa mwaka huu pia Jux aliachia video ya 'One More Night' iliyofanyika huko huko Afrika Kusini.

Na kwa sasa wameamua kuchanganya ladha ili kukupa burudani wewe shabiki wa muziki wao, Sikiliza hapa chini wimbo huo;

Leave your comment