TANZANIA: Ben Pol, Maua Sama na Diamond ni kati ya wasanii ambao Hermy B anatamani kufanya nao kazi!
10 February 2016

Producer na CEO wa Bhitz Music Group, Hermy B amewataja wasanii anaotamani kufanya nao kazi, akiwemo Maua Sama.

Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii, Hermy B alisema Maua Sama, Ben Pol na Diamond ni miongoni mwa wasanii anaotamani kufanya nao kazi.

“Sijawahi kufanya kazi na Maua Sama, lakini natamani kufanya naye kazi kutokana na ubora wa sauti yake. Kwahiyo Maua Sama ni mmoja kati ya wasanii ambao nina imani naye. Pia natamani kufanya kazi na Ben Pol, sijawahi kufanya kazi na Ben Pol”, alisema Hermy B.

Aliongeza kuwa, “Pia natamani kufanya kazi na Diamond kutokana na sauti yake ambavyo anaweza kuitwist, halafu one thing kwamba Diamond ana element moja ambayo watu wengi hawaijui, Diamond ni rapper”.

Leave your comment