TANZANIA: Kabla ya kuifungia ‘Shika Adabu Yako’ Nay asema BASATA wajitafakari kwanza kabla ya kufanya hivyo!
10 February 2016

Rapa Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya jana tareh 9 inayoitwa ‘Shika Adabu Yako’, na ndani ya wimbo huo ametoa vijembe vingi kwa watu tofauti tofauti wakiwemo wasanii wa bongo movie, wanachuo, wanamuziki wenzie na BASATA.

Mwaka jana ROMA alitoa wimbo wa #VIVAROMAVIVA ambao ulifungiwa pamoja na nyimbo nyingine na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa madai kuwa aliwasema watu kwa maneno ya yasiyo na ushahidi.

Lakini katika wimbo wake mpya amejihami kwa kusema BASATA kabla ya kuifungia nyimbo yake itabidi wajitathmini kwanza.

Pia Nay ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa atapumzika na tayari ameshasema ni kwa mwezi mmoja tu.

Na pia lengo la wimbo huu Nay amesema kwa muda mrefu game haijachangamka na hakuna aliyetoa ngoma ya kuleta changamoto baina ya watu kwahiyo ameileta hii ili kuchangamsha genge.

Sikiliza wimbo huo hapa chini;

Leave your comment