TANZANIA: Ukitaka kumshirikisha Lulu kwenye filamu andaa Mil 15.
8 February 2016

Nyota wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amesema kama unataka kumshirikisha katika filamu yako, andaa kiasi cha Tsh milioni 15 kwani anaogopa kuendelea kutumika bila faida.

Akiongea katika kipindi cha Take One cha Clouds TV Jumapili hii, Lulu amesema tayari ameshatengeneza jina kwa miaka mingi na sasa anahitaji pesa.

“Kufanya filamu kwa milioni 15 sio hela nyingi, watu wanaongea tu kwasababu hawajui nini kipo ndani yake. Mimi nikipewa milioni 15, mavazi pamoja na kila kitu najitegemea”, alisema Lulu.

Pia aliongeza, “Kwa hii milioni 15 ni kweli kuna faida, faida moja ni kwamba naepuka kutumika bila faida, mtu unakuwa na jina sawa, umefanya movie hii, umefanya movie hii nini unacho? Mwisho wa siku tunajikuta tunaanza kufanya vitu vingine ili kumaintain status ya yako kwasababu umeshatengeneza jina na unahitaji kulimaintain”, alimaliza Lulu.

Leave your comment