Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: O’G imenifungulia milango ya kimataifa – G Nako
5 February 2016

Rapa anayeunda kundi la Weusi, G Nako amesema wimbo wake mpya wa ‘OG’ unaofanya vizuri kimataifa, umemfungulia milango kwa kuanza kupokea simu za kufanya kolabo na wasanii toka nje ya Tanzania.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio Alhamis hii, G Nako alisema kazi hiyo huwenda ikampa deal kubwa za kimataifa.

“Kazi imetoka nje na kuna baadhi ya simu zinakuja wanataka kolabo na vitu kama hivyo. Kwahiyo inavyozidi kupasua anga, ndivyo ninavyoendelea kujiandaa kwa kazi mpya”.

Pia G Nako aliongeza, “Kuna vitu vingine vingi ambavyo vinakuja. Lakini cha kushukuru wimbo umetoka nje na watu wameuelewa na wao ndio wanaotaka kufanya kolabo na sisi. Hiyo inatuonyesha kwamba kitu chetu ambacho tunakifanya kipo katika level kubwa ambayo imewafanya wasanii wa nje watutafute kwa ajili ya kolabo”.

Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Anthem
25 May
- Angel Prince Biography
27 May

Leave your comment