Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TecnoOwnTheStage: Piga kura sasa kumchagua mshindi umtakaye, Fainali Feb 7!
4 February 2016

Je ni Tanzania, Nigeria, au Kenya itakayoshangilia ushindi Jumapili hii? Fainali ya kwanza yay a shindano la Tecno Own The Stage itakayofanyika Februari 7 jijini Lagos, Nigeria na kushuhudia waimbaji wane wenye vipaji wakiwakilisha nchi hizo tatu.
Nandy anapeperusha bendera ya Tanzania huku Nigeria ikiwakilishwa na Shapeera. Wakati Kenya ikiwakilishwa na Sikin na Pascal.
Kiasi cha Dolla $25,000 kushindaniwa na ushindi upo mikononi mwako.

Mpigie kura sasa mshiriki umpendae kwa kufuata maelekezo haya;
Piga kura kwa kufuata link hii - http://tecnoownthestage.com/vote/
Pia usikose kutazama fainali hizo kupitia Africa Magic na pia kupitia You Tube.
Pia usipitwe na taarifa zote muhimu kwa kufuata account za mitandao ya kijamii
Facebook - Tecno Own The Stage
Twitter - @tecnoownstage
Instagram- @tecnoownthestage
Jiunge kwenye mazungumzo na kuwa huru kulike, kucomment na kushare ukipendacho. Hakikisha unashare na marafiki zako kizuri kwa kutumia hashtag ya #TecnoOwnTheStage.
Pia usipitwe na taarifa zote muhimu kwa kufuata account za mitandao ya kijamii
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Anthem
25 May
- Angel Prince Biography
27 May


Leave your comment