Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Tunda amtaka Matonya kumpa maksi za uandishi ya wimbo wa Vailet!
4 February 2016

Msanii wa muziki toka kundi la TipTop Connection, Tunda Man amemtaka msanii mwenzake Matonya akubali kuwa yeye ndiye aliyemwandikia wimbo wa Vaileth ili tofauti zao za muda mrefu zimalizike.

Waimbaji hao ambao mwaka 2015 walipatanishwa na kituo kimoja cha radio na kudai wataingia studio kuandaa wimbo wa pamoja, lakini hadi sasa bado wanaendelea kutupiana maneno.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatano hii, Tunda alisema kuwa Matonya anatakiwa akubali ili mambo yaishe.

“Kila kitu ye anakijua, ndio maana mi nasema yeye ndo ana-create hivi vitu vinatokea ugomvi, yeye ndo anataka viwepo, anajua kila kitu kuhusu Vaileti, anachotakiwa kufanya ni kuwaambia tu wananchi kuwa alichosema kuwa Tunda alifanya hii ngoma, aliandika mimi nimeimba lakini ilitakiwa nay eye aimbe lakini alishindwa kwahiyo nikaimba mimi ngoma yote”, alisema Tunda Man.

Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Anthem
25 May
- Angel Prince Biography
27 May

Leave your comment