TANZANIA: Jokate adai comments mbaya hazimpi shida!
29 January 2016

Mrembo Jokate asema comments za watu kwenye mitandao ya kijamii hazimpi shida. Comments hizo mbaya zilitolewa na watu baada ya Jokate kupost video akicheza wimbo wa Zigo Remix ya AY aliomshirikisha Diamond.
Jokate aliongea hayo alipohojiwa na Soudy Brown katika segement ya U heard inayorushwa na Clouds Fm, na kudai kuwa alipost video hiyo wakati akiwa gym na comment za watu kwake si tatizo. Kikubwa ni kwamba yeye ana love na muziki wa AY na hivyo comment mbaya mitandaoni hazimpi shida.
Na alipoulizwa kuwa yeye ni team nani Jokate alijibu “Am team Jesus,am team love! I don’t wanna have any hatred in my heart, and am all about love. People on Instagram tend to be negative and they don’t wana be positive and it’s a kind of frustrating na I don’t mind kwa vitu ambavyo havijengi”.Alisema Jokate.




Leave your comment