Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA – Hiki ndicho kilichompoteza Saida Karoli – Mrisho Mpoto
25 January 2016

Mrisho Mpoto amesema moja ya sababu zilizofanya kupotea kwa msanii wa nyimbo za asili, Saida Karoli ni kukosa uongozi mzuri wa kusimamia kazi zake mwenyewe.

Akizungumza kupitia kipindi cha Sunrise cha Times FM Ijumaa iliyopita, Mpoto alidai kuwa msanii huyo hakuwa na usimamizi mzuri japo alikuwa na uwezo mkubwa kwenye Sanaa.

“Ilifika kipindi kila kitu akawa anafanya yeye mwenyewe, hakuwa na uongozi mzuri sana, lakini naamini akisimamiwa hata sasa atarudi vizuri tu”, alisema Mjomba.

Kwa upande mwingine Mpoto amewataka Watanzania kuzikumbatia tamaduni zao na kuachana na umagharibi, kwani kufanya hivyo ni sawa na kupigwa ‘pingu’ za akili.

Wakati huo huo ambapo Mpoto ameachia wimbo mpya uitwao ‘Sizonje’ hivi karibuni amewataka mashabiki wake kumpigia kura kwenye tuzo za Kora 2016.

Weekly Top 10 songs

omelette4:28
ONLY YOU JESUS5:44
Melody Ft Tunche the best3:20
Kupenda nishapenda zaani3:12
Nigina2:27
R.I.P Manu4:52
CHAMPION GAL3:00
Zabike2:50
Haipo Sawa (Feat. Don breezy)4:13
Wano Wano2:15
Top stories
- OXEN MUSIC
29 July
- Mytee boy - SURVIVE
28 July
- Abakuchinsali
29 July

Leave your comment