Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA – Madee agoma kutimiza ahadi aliyoahidi baada ya timu yake kufungwa
25 January 2016

Msanii toka Tip Top connection amejikuta kwenye wakati mgumu kutimiza kile alichoahidi baada ya timu yake Arsenal jana kufungwa bao mbili bila na Chelsea.

Msanii huyo ambaye ni shabiki wa Arsenal aliwaahidi mashabiki wake kuwa endapo timu hiyo itafungwa, atachoma gari lake moto.

Baada ya mechi hiyo siku ya Jumapili, timu yake ilipokea kichapo hicho na alishindwa kutimiza alichoahidi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter aliandika;

Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Angel Prince Biography
27 May
- new update don cast
25 May

Leave your comment