NEW SONG (TANZANIA) – Sikiliza ‘Zigo Remix’ yake AY ft Diamond
22 January 2016

Rapa wa muda mrefu nchini, Ambwene Yesaya aka AY ameitambulisha remix ya wimbo wake wa ‘Zigo’ akiwa amemshirikisha Diamond Platnumz jana katika kipindi cha XXL cha Clouds redio. Mdundo huo ulitayarishwa na Nahreel wa The Industry, lakini remix imefanyiwa kazi na Hermy B pamoja na Marco Chali.
Sikiliza hapa;




Leave your comment