EXCLUSIVE (TANZANIA) – Nikki wa Pili awasihi mashabiki kununua kazi original
19 January 2016

Rapper kutoka kundi la Weusi, Nikki Wa Pili amewataka mashabiki wa muziki nchini kuacha kununua vitu fake kwani vina hasara zaidi kuliko faida.

Msanii huyo amesema hayo jumanne hii kupitia tovuti ya Bongo 5, kuwa Watanzania wajenge utamaduni wa kununua vitu halisia (original).

“Watu wanatakiwa wabadilike kwenye maswala ya kununua vitu fake. Mtu anatakiwa ajisikie uchungu anavyochukua CD ya msanii na kuitoa nakala bila ruhusa, ndio maana nikaandika hakuna maumivu ukinunua CD fake mpaka siku ukinunua dawa fake ikamuua ndugu yako ndio utaona uchungu wa kazi ya mtu”, amesema Nikki.

“Kwasababu yule anayetengeneza fake ni mwizi kwahiyo anatengeneza chini ya kiwango, kwahiyo madhara yake ni mengi sana”, alisema.

Pia Nikki amewaomba mashabiki wasupport kazi ya member mwenzake wa Weusi, G Nako iitwayo ‘Mr O G’.

Leave your comment