NEW SONG (TANZANIA) – Songa anakufungulia mwaka na hii ‘Picha’
8 January 2016

Msanii wa Hip Hop nchini toka tamaduni music, Songa ameachia wimbo mpya unaenda kwa jina la ‘Picha’. Wimbo umefanyika kwenye Studio za Chimbo, beat imetengenezwa na Ringle na mastering imefanywa na Cjamoker.
Sikiliza kupitia mdundo kwa kusearch code zilizopo hapa chini;
http://mdundo.com/song/44494




Leave your comment